SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MAPINDUZI CUP 2016: YANGA YAIPIGA MTIBWA, SASA SIMBA KUAMUA WENYEWE WAKIITAKA YANGA NUSU FAINALI.

AMAAN-STADIUMMabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, Leo wameifunga Mtibwa Sugar Bao 2-1 na kutwaa ushindi wa Kundi B la Mapinduzi Cup katika Mechi iliyochezwa huko Amaan Stadium Jijini Zanzibar.

Kabla ya Mechi hii, Yanga na Mtibwa Sugar, zilishapata uhakika wa kucheza Nusu Fainali baada ya mapema Leo Mafunzo kuwatwanga Azam FC 2-1 na wote kujihakikishia kuwa nje ya Mashindano haya.

Mtibwa ndio walitangulia kufunga kupitia Kichuya na Yanga kujipa ushindi kwa Bao za Aboubakar na Malimi Busungu.
Yanga sasa watacheza Nusu Fainali na Mshindi wa Pili wa Kundi A na Mtibwa Sugar kukutana na Mshindi wa Kundi hilo.

Kundi A linamaliza Mechi zake Ijumaa kwa Jamhuri kuanza na URA na Simba kucheza na JKU huku kila Timu ikiwa ina nafasi kutinga Nusu Fainali ikipata matokeo mazuri ingawa Sare kwa Simba itawafikisha Nusu Fainali wakati URA na Jamhuri zikihitaji ushindi.


KUNDI A:
Namba
Timu
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Simba
2
1
1
0
3
2
1
4
2
JKU
2
1
0
1
4
3
1
3
3
URA
2
1
0
1
3
2
1
3
4
Jamhuri
2
0
1
1
2
5
-3
1
KUNDI B:
Namba
Timu
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
Yanga
3
2
1
0
6
2
4
7
2
Mtibwa Sugar
3
1
1
1
3
3
0
4
3
Mafunzo
3
1
0
2
2
5
-3
3
4
Azam FC
3
0
2
1
3
4
-1
2

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply