• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Nimegundua Mabinti Wanashindwa Kutofautisha Mume na Boyfriend-JB

Nakaribia 50 sasa na huku mtaani kwetu nimepewa heshima ya mzee wa mtaa… na kila j2 jioni huwa nasuluhisha kesi za wana ndoa…katika kesi nyingi nimegundua mabinti wanashindwa kutofautisha mume na mwanaume wa starehe (boyfriend) na ndio maana una weza ukaenda harusini watu wakabeza aiii kampendea nn??? Amefuata  hela tuu…sababu kuna vitu mnaviangalia ambavyo si sifa za mume…ni ziada tu ambayo kama itakuwepo una bahati…mume anatakiwa awe na sifa nyingi lakini kuu ni kuwa macho…masikio…mikono na moyo wake utakuwa kwa mke wake bila kujali wanawake wangapi wazuri wanamwinda…na yuko tayarikuihudumia na kuingalia familia yake…sio lazima awe giant na hb kama jb…wanawake wengi wameishia kuzalishwa na kuachwa na kutengeneza watoto wengi wasio na malezi ya baba na mama…na hawa walioachwa ss wana chuki kubwa na wanaume….pia kizazi hiki cha kuanzia miaka 30 kwenda chini kina wanawake wengi wajeuri wenye kujiamini kupita kiasi…nionavyo huko mbele ndoa zitakuwa chache…wacha nile pilau yangu nijiandae saa 10…kuna wengine wanakuja washatibuana karibia wiki3 sasa

By Jb on Instagram

«
Next
FA CUP: IJUMAA LIVERPOOL KUANZA NA EXETER, JUMAMOSI MECHI KEDEKEDE.
»
Previous
KABLA YA TUZO: SAMATTA AKIWA NA MPINZANI WAKE, MTU WAKE KADIABA

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply