SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / PAMOJA NA USHINDI BAO 10 KATIKA MECHI MBILI, ZIDANE ATAKA STAMINA ZAIDI MADRID.


Pamoja na kikosi chake kushinda kwa mabao 10 katika mechi mbili za La Liga, Kocha Mkuu wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesema anataka kuongeza nguvu na stamina katika kikosi chake.

Zidane raia wa Ufaransa amesema anaamini kikosi chake kilo vizuri lakini kitakuwa vizuri zaidi kama kitaongezewa nguvu na has a upande wa kuhimili shida.


“Nimezungumza na wenzangu wa bench la ufundi, tayari hilo limeanza kufanyiwa kazi. Tunaamini mambo yataenda vizuri zaidi kwa kuwa tunataka kushinda zaidi,” alisema mara baada ya mechi ya kutoa vipigo viwili mfululizo na kukusanya pointi 6 na mabao 10 chini ya utawala wake.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply