Nyota
wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwa na mshambuliaji nyota wa Borussia
Dortmund ya Ujerumani na timu ya taifa ya Gabon, Pierre Aubameyang
walipokutana jijini Lagos, Nigeria hivi punde kabla ya kuanza kwa
tamasha la kuwatuza wanasoka bora Afrika.
Samatta
anawania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika anayecheza soka barani Afrika
wakati Aubameyang anawania tuzo ya Mwanasoka Bora Afrika akichuana na
mtetezi wa tuzo hiyo miaka mitatu mfululizo, Yaya Toure na Andre Ayew.
Hakuna maoni :