• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / SERIKALI: TUNA IMANI MBWANA SAMATTA ATASHINDA TUZO LEO USIKU


Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Daniel Ole Njoolay amesema ana imani kubwa Mtanzania, Mbwana Samatta atashinda tuzo ya Mwasoka Bora Afrika.

Samatta anawania tuzo ya mwanasoka bora Afrika kwa wale wanaocheza soka ndani ya bara hilo. 
Njoolay amezungumza na Radio One na kuiambia Samatta amewasili  salama na wana matumaini makubwa atafanya vizuri.


OLE NJOOLAY

"Amewasili hapa jana saa saba, tumempokea, anaonyesha ni mwenye furaha na kwa kweli tuna matumaini atafanya vizuri," alisema Njoolay.

Samatta ameingia fainali na kipa mkongwe wa TP Mazembe, Muteba Kadiaba na mshambuliaji wa Etoile Du Sahel, Bouned Baghdad raia wa Algeria.

«
Next
Profesa Jay Ashinda Kesi ya Pingamizi la Ubunge Alilowekewa
»
Previous
BENITEZ ATOA SHUKURANI, AWAAGA WACHEZAJI, MASHABIKI MADRID AMTAKIA KILA LA KHERI ZIDANE

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply