SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / TASWIRA TATU, IBRA AJIB AKISHANGILIA BAO LAKE LILILOIUA NDANDA KWA KUPIGA SIMU YA KIATU


Ilikuwa raha ya aina yake wakati Ibrahim Ajib alipofunga bao lake pekee lililoiwezesha Simba kuituliza Ndanda kwa 1-0 kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, leo.


Lakini utamu zaidi ulikuwa namna ambavyo Ajib alishangilia kwa kutumia kiatu, kama vile alikuwa anazungumza na simu. Basi ni mambo mapya kila mara na ndiyo raha yenye ya soka.



«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply