SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / USIONE LUCA MODRIC AKITAMBA REAL MADRID UKADHANI ALIANZA LEO, HII ILIKUWA NI NDOTO.


Kiungo Luca Modric sasa ni sehemu ya wale tegemeo katika kikosi cha Real Madrid.

Juzi amefanikiwa kuingia katika wachezaji bora katika kikosi cha dunia kilichochaguliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).

Lakini ukiangalia picha hizi, utajua vita haviibuki tu kama mchicha. Soka ilikuwa ni ndoto yake na kweli alipigania. Hivyo lazima tukubali kwamba mambo ni hatua lakini lazima upambane kufanikiwa.

Achana na kulala sana, kulaumu sana na kuwa ni mwenye visingizio sana. Badala take, pambana sana.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply