SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Video: Shilole na Nuh Mziwanda walivyokutanishwa kwenye kipindi cha Clouds Tv bila kujijua



Weekend iliyopita kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV kilijaribu kuwakutanisha Shilole na aliyekuwa boyfriend wake, Nuh Mziwanda kwa lengo la kutaka kuwapatanisha.
Jitihada za kuwakutanisha studio (bila wao kufahamu) zilifanikiwa, lakini lengo la kutaka kuwapatanisha liligonga mwamba, na Shilole alionekana kuchukizwa na kitendo cha kukutanishwa na ex wake bila mwenyewe kuridhia, huku Nuh alionekana kuwa tayari kile kilichokusudiwa kufanywa.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply