SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / COASTAL UNION WATUMBUA MAJIPU, WAICHAPA AZAM FC BAO 1-0, VIPORO VYAANZA KUCHACHA.


Azam FC imepoteza mechi yake ya kwanza ya Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa bao 1-0.

Coastal Union kwa mara nyingine imeweka rekodi ya kuifunga timu ambayo ilikuwa haijafungwa hata mchezo mmoja.

Wiki mvili zilizopita, Coastal Union iliitwanga Yanga kwa mabao 2-0 na kuifanya ipoteze mechi yake ya kwamza ya ligi, Miraji Adam.


Lakini leo, Miraji Adam amefunga bao pekee lililoipa Coastal Union ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC ambao walikuwa wana viporo vya mechi mbili.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply