Beki
wa Togo, ’Vincent Bossou akiruka kuokoa mpira wakati wa mechi ya ya
pili kuwania kucheza Kombe la Mataifa Afrika dhidi ya Kipre Tchetche wa
Ivory Coast waliokuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Felix Houphouet-Boigny
jijini Abidjan, Ivory Coast. Hii ilikuwa ni Aprili 11, 2010 wakati
wenyeji Ivory Coast waliposhinda kwa mabao 4-0 na kuing’oa Togo
iliyokuwa ikiongozwa na Bossou.
Tcheche
ambaye sasa yuko Azam FC alikuwa mmoja wa wafungaji huku Bossou ambaye
sasa ni beki anayeonekana kuanza kuimarika, akishindwa kuzuia mvua hiyo
ya mabao.
Hakuna maoni :