• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea Afunguka Mazito Kuhusu Suala la Uchaguzi Zanzibar..'Nchi yetu itafika Pabaya'.


Kubenea ameyasema hayo alipokuwa akichangia hoja ya mpango wa maendeleo bungeni kwenye kikao cha 7 bunge la 11, na kusema kuwa suala la Zanzibar lisipochukuliwa hatua makini, litaipeleka nchi pabaya.

“Uchaguzi wa Zanzibar utatuletea matatizo makubwa kitaifa tusipokuwa makini, hakuna namna yoyote katika bunge hili ya kutozungumzia suala la Zanzibar, iwapo matatizo ya Zanzibar yasipotatuliwa kwa makini, mpango huu hautatekelezeka”, alisema Saed Kubenea.
Pia Saed Kubenea amesema watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini na mashirika m
balimbali ya kijamii yanaliona suala hilo, lakini wao kama wabunge hakuna ambaye amethubutu kuliongelea.

“Tunakaa kaa tu humu ndani, wakati maaskofu wanasema Zanzibar kuna tatizo, mashekhe wanaliona tatizo, tukajifanya hakuna matatizo, nchi yetu itafika pabaya na mpango wa maendeleo hautatekelezeka”, alisema Saed Kubenea

«
Next
Maalim Seif Sharif Hamad Amshushia Tuhuma Nzito Jakaya Kikwete..Adai Yeye Ndio Amevuruga Uchaguzi wa Zanzibar.
»
Previous
KAMA WANALIA VILE; MESSI, SUAREZ KILA MTU NA MMPIRA WAKE.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply