Mwamuzi mwanadada anayeongoza kwa kumwaga kadi, Jonesia Rukiyaa ndiye atakayechezesha mechi ya watani Yanga na Simba.
Mwanadada
huyo kutoka Kagera, mara ya mwisho alichezesha mechi ya watani katika
pambano la Nani Mtani Jembe ambalo Simba ilishinda kwa bao 2-0.
Hata hivyo, Jonesia anasifika kwa kutoa kadi kama njugu na faulo nyingi anachoangalia ni sheria na hakuna nafasi ya busara.

Hakuna maoni :