PATA TAARIFA TOKA TFF:
LIGI KUU MZUNGUKO WA 19
Ligi
Kuu ya Vodacom Tanzania bara inatarajiwa kuendelea wikiendi hii kwa
michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti, huku kila timu ikisaka
pointi tatu muhimu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye msimamo wa
ligi hiyo.
Jumamosi, Uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga, Stand United watawakaribisha Simba SC, Mgambo Shooting v African Sports (Mkwakwani), Mbeya City v Toto Africans (Sokoine), Ndanda FC v Majimaji (Nangwanda) na JKT Ruvu v Kagera Sugar uwanja wa Karume jijini Dar es salaam.
Jumapili ligi hiyo itaendelea kwa michezo miwili, Mwadui FC watakua wenyeji wa Tanzania Prisons kwenye uwanja wa Mwadui Complex, huku Coastal Union wakicheza dhidi ya Azam FC uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.
IMETOLEWA NA TFF
VPL-LIGI KUU VODACOM
Ratiba
Jumamosi Februari 13
Stand United v Simba
Mgambo JKT v African Sports
Mbeya City v Toto Africans
Ndanda FC v Majimaji
JKT Ruvu v Kagera Sugar
Jumapili Februari 14
Mwadui FC v Tanzania Prisons
Coastal Union v Azam FC
Jumamosi Februari 20
Yanga v Simba
Mgambo JKT v Tanzania Prisons
Stand United v JKT Ruvu
Mbeya City v Azam FC
Majimaji v Mtibwa Sugar
Toto Africans v Kagera Sugar
Jumapili Februari 21
Ndanda FC v African Sports
Mwadui FC v Coastal Union

Hakuna maoni :