MECHI za Makundi za kuwania kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2017, zitakazochezwa huko Gabon Januari 2017, zinaingia Raundi ya 3 kuanzia Jumatano na kuunganishwa na zile za Raundi ya 4 ya Siku 7.
Tanzania, ambao wako Kundi G, Jumatano wapo huko N’Djamena kucheza na Chad na Timu hizi zitarudiana Jijini Dar es Salaam hapo Jumatatu Machi 28.
Wenzao wa Kundi G, Nigeria na Egypt, zitapambana huko Kaduna, Nigeria Siku ya Ijumaa na kurudiana huko Alexandria, Egypt Jumanne Machi 29.
Kwenye Kundi hili, Egypt wanaongoza wakiwa na Pointi 6 baada ya kushinda Mechi zao zote wakifuata Nigeria wenye Pointi 4 na Tanzania Pointi 1 baada ya kutoka Sare 0-0 na Nigeria na kufungwa 3-0 na Egypt.
Chad wako mkiani wakiwa hawana Pointi.
AFCON 2017
MAKUNDI:
KUNDI A: Tunisia, Togo, Liberia, Djibouti
KUNDI B: Madagascar, DRC, Angola, CAR
KUNDI C: Mali, Equatorial Guinea, Benin, South Sudan
KUNDI D: Burkina Faso, Uganda, Botswana, Comoros
KUNDI E: Zambia, Congo, Kenya, Guinea Bissau
KUNDI F: Cape Verde, Morocco, Libya, Sao Tome
KUNDI G: Nigeria, Egypt, Tanzania, Chad
KUNDI H: Ghana, Mozambique, Rwanda, Mauritius
KUNDI I: Cote d’Ivoire, Sudan, Sierra Leone, Gabon
KUNDI J: Algeria, Ethiopia, Lesotho, Seychelles
KUNDI K: Senegal, Niger, Nambia, Burundi
KUNDI L: Guinea, Malawi, Zimbabwe, Swaziland
KUNDI M: Cameroon, South Africa, Gambia, Mauritania
MFUMO:
-Makundi yapo 13 ambapo 12 yana Timu 4 na moja lina Timu 3 lakini Wenyeji Gabon, ambao wanafuzu moja kwa koja kucheza Fainali, wamechomekwa Kundi hilo [KUNDI I] ambapo Mechi zao ni za Kirafiki tu.
-Mshindi wa kila Kundi [Washindi 13] na Timu 2 zitakazomaliza Nafasi za Pili Bora zitatinga Fainali kuungana na Wenyeji Gabon na kufanya Jumla ya Timu 16.
AFCON 2017
RATIBA
Mechi za Makundi
**Saa za Bongo
Jumatano Machi 23
Sao Tome v Libya [Estadio Nacional 12 de Julho] 16:30
Chad v Tanzania [Idriss Mahamat Ouya] 16:30
South Sudan v Benin [16:30]
Guinea-Bissau v Kenya [Estádio Nacional 24 de Setembro] 19:00
Zambia v Congo [Levy Mwanawasa Stadium] 19:00
Alhamisi Machi 24
Madagascar v Central African Republic [Stade Municipal de Mahamasina] 16:30
Comoros v Botswana [Said Mohamed Cheikh] 17:00
Djibouti v Liberia [Djibouty] 17:00
Ghana v Mozambique 18:30
Ijumaa Machi 25
Swaziland v Zimbabwe [Lobamba] 16:00
Gabon v Sierra Leone [Franceville ] 16:30
Ivory Coast v Sudan [Stade Félix Houphouët-Boigny[] 17:30
Mauritania v Gambia [Nouakchott] 17:30
Nigeria v Egypt [Ahmadu Bello Stadium] 18:00
Guinea v Malawi [28 Septembre] 18:00
Tunisia v Togo [Stade Mustapha Ben Jannet] 19:00
Mali v Equatorial Guinea [Stade du 26 Mars] 19:00
Algeria v Ethiopia [Stade Mustapha Tchaker] 21:30
Jumamosi Machi 26
Mauritius v Rwanda [Belle Vue] 16:00
Burundi v Namibia [Prince Louis Rwagasore] 16:00
Congo DR v Angola [Stade des Martyrs de la Pentecote] 16:30
Cape Verde v Morocco [Praïa , Praïa] 17:00
Cameroon v South Africa [Stade Municipal de Limbe] 17:30
Seychelles v Lesotho [Stade Linite] 17:30
Senegal v Niger [Stade Léopold Sédar Senghor] 20:00
Burkina Faso v Uganda [Ouagadougou] 21:00
Jumapili Machi 27
Mozambique v Ghana [Estádio Nacional do Zimpeto] 17:00
Kenya v Guinea-Bissau [Nyayo National Stadium] 17:00
Congo v Zambia [Stade Alphonse Massamba-Débat] 18:30
Jumatatu Machi 28
Liberia v Djibouti
Togo v Tunisia
Central African Republic v Madagascar
Benin v South Sudan
Equatorial Guinea v Mali
Botswana v Comoros
Uganda v Burkina Faso
Libya v Sao Tome
Morocco v Cape Verde
Tanzania v Chad
Rwanda v Mauritius
Sierra Leone v Gabon
Sudan v Ivory Coast
Lesotho v Seychelles
Ethiopia v Algeria
Namibia v Burundi
Niger v Senegal
Malawi v Guinea
Gambia v Mauritania
Zimbabwe v Swaziland [National Sports Stadium] 16:00
Jumanne Machi 29
Angola v Congo DR [Estádio 11 de Novembro] 20:00
Egypt v Nigeria [Borg El Arab Stadium] 21:00
South Africa v Cameroon [Moses Mabhida Stadium] 21:00
MSIMAMO WA MAKUNDI:
NCHI ZILIZOWAHI KUTWAA UBINGWA WA AFRIKA:
-Egypt-Mara 7
-Cameroon, Ghana-Mara 4
-Nigeria-Mara 3
-Congo DR-Mara 2
-Zambia, Algeria, Congo, Ethiopia, Ivory Coast, Morocco, South Africa, Sudan, Tunisia-Mara 1
Hakuna maoni :