SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / BAYERN YAICHAPA JUVE BAO 4-2, YASONGA LIGI YA MABINGWA, ILA ILIBIDI ZIONGEZWE DAKIKA 30.


Bayern Munich imeshinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Juventus na kusonga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa jumla ya mabao 6-4.

Lakini haikuwa mechi ya mchezo, kwani hadi mapumziko walikuwa nyuma kwa mabao 2-0, kipindi cha pili wakasawazisha.
Baada ya hapo, zikaongezwa dakika 30 na wenyeji Bayern wakapata majibu ya haraka kwa kufunga mabao mawili.







«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply