SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha.

CEO wa FastJet kuacha kazi wiki hii baada ya wawekezaji kulalamika kuwa shirika lina gharama nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwa na makao makuu London Gatwick pamoja na kwamba shirika linafanya kazi zake Tanzania.

Mwekezaji mkubwa Haji Ioannou amesema kuna hatari kampuni hiyo kuishiwa hela mwaka huu ndani ya miezi sita.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply