SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / JEZI YA NIYONZIMA NDIYO MAARUFU ZAIDI KWA ZILE ZA YANGA, MASHABIKI WAIGOMBEA.


Jezi ya kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima yenye jina lake na namba nane mgongoni imekuwa gumzo katika mitaa ya jiji la Kigali, Rwanda.

Yanga iko jijini Kigali kuivaa APR katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kesho.

Lakini mashabiki wengi wameonyesha kuvutiwa na jezi ya Niyonzima ambaye ni nahodha wa timu ya taifa ya Rwanda ‘Amavubi’.

Niyonzima alipokelewa kwa shangwe na mashabiki kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Rwanda na kukabidhiwa maua.

Tayari Watanzania ambao wanauza jezi za Yanga, wamejikuta wakipandisha jezi za bei hizo kutoka Sh 5,000 hadi Sh 20,000 huku zile za Niyonzima zikiuzwa kwa wingi zaidi.


«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply