SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MPIRA UKO KWENYE DAMU HASA, HUYUNI JAY JAY OKOCHA AKIWA NA UMRI WA MIAKA MITATU.



Huyu ni Jay Jay Okocha, gwiji la soka nchini Nigeria na Afirka kote. Hapa alikuwa na umri wa miaka mitatu tu. 

Angalia mchezaji huyo alivyofanikiwa baadaye na kucheza kwa mafanikio katika nchi mbalimbali za Ulaya kama England na Ujerumani.


 Lakini katika picha hii anaonyesha burudani yake ni soka. Tuwaunge mkono watoto wetu.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply