SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MURO AWAKUMBUSHA SIMBA ALIVYOWAAMBIA KUHUSU KUREJEA KILELENI.



Msemaji wa Yanga, Jerry Muro haishiwi maneno. Sasa anasema waliwaambia Simba kuwa wenye kilele wanarejea, kweli imekuwa hivyo.

“Si umeona kwamba tuliwapa muda mchache tu wa kupumzika hapo. Sisi tumerejea na ndiyo wenye nafasi yetu,” alisema akijigamba.

Majigambo hayo ya Muro ni baada ya Yanga kufikisha pointi 50 na kuishinda Simba yenye pointi 48.

Yanga imepanda kileleni baada ya kuichapa African Sports kwa mabao 5-0 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.


“Niliwaambia haha wenzetu watakaa pale kileleni kwa muda tu, nilijua lazima turudi na leo umeona kipigo tulichotoa kwa African Sports, tumechukua nafasi yetu,” aliendelea kujigamba Muro.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply