• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / PARIS ST GERMAIN YATWAA TAJI LIGUE 1 KIREKODI, IBRAHIMOVIC APIGA 4 IKIUA 9-0.

PSG-IBRA-CHELSEAVIGOGO wa Ufaransa Paris Saint-Germain, wakiongozwa na Bao 4 za Supastaa Zlatan Ibrahimovic goals, Jana waliitwanga Troyes 9-0 na kutwaa Taji la Ubingwa wa Ligi 1 France kwa mara ya 4 mfululizo huku wakiwa na Mechi 9 mkononi.

Ushindi huu umekuja Siku 4 tu baada ya kuitupa nje Chelsea kutoka UEFA CHAMPIONZ LIGI baada ya kuinyuka 2-1 huko Stamford Bridge na kuingia Robo Fainali.

Kwa kutwaa Taji hilo la France, PSG, chini ya Kocha Laurent Blanc, wameifuta Rekodi ya Lyon waliotwaa Ubingwa Mwaka 2007, chini ya Gerard Houllier, huku wakiwa na Mechi 5 mkononi.

Wakicheza Ugenini hapo Jana huko Stade de l'Aube, Bao 3 ndani ya Dakika 6 za Kipindi cha Kwanza zilizofungwa na Edinson Cavani, Pastore na Adrien Rabiot ziliwatuliza Mabingwa hao.

Kisha akaja Ibrahimovic na kupiga Bao la 3 katika Dakika 10 za Kipindi cha Pili na kuifanya PSG iongoze 6-0.

Bao za 7, 8 na 9 zilifungwa na Matthieu Saunier, aliejifunga mwenyewe, Edinson Cavani na Ibrahimovic.

«
Next
KERR ABADILIKA, SASA SIMBA YAMPA MATUMAINI KUWA INAWEZA KUBEBA UBINGWA.
»
Previous
LOWASSA na MBOWE Waongoza Mafuriko ya Kumtambulisha Katibu Mkuu Mpya wa CHADEMA Jijini Mwanza.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply