SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / UEFA EUROPA LIGI: LIVERPOOL YAIBWAGA MAN UNITED ANFIELD, KURUDIANA WIKI IJAYO OLD TRAFFORD.


>>HUKO GERMANY, SPURS YANYUKWA 3-0 NA BORUSSIA DORTMUND!
LIVER-UNITEDAnfield, ilikuwa na Usiku wa furaha baada Mahasimu wakubwa kupambana na Liverpool kuifunga Manchester United 2-0 kwenye Mechi ya Kwanza ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA EUROPA LIGI.

Bao za Liverpool zilifungwa kila Kipindi na la kwanza kwa Penati ya Daniel Sturridge na la pili kufungwa na Roberto Firmino.

Klabu nyingine ya England ambayo ipo kwenye Mashindano haya ilitandikwa 3-0 huko Signal Iduna Park Jijini Dortmund, Germany na Borussia Dortmund.

Bao za Dortmund zilipigwa na Pierre-Emerick Aubameyang na Marco Reus aliepiga 2.
Mechi za Marudiano za Mashindano haya ni Wiki ijayo Alhamisi Machi 17.

VIKOSI:
Liverpool: Mignolet; Clyne, Lovren, Sakho, Moreno; Can, Henderson; Lallana, Coutinho, Firmino; Sturridge
Akiba: Ward, Benteke, Touré, Allen, Origi, Smith, Ojo

Man United: De Gea; Varela, Smalling, Blind, Rojo; Schneiderlin, Fellaini; Memphis, Mata, Martial; Rashford
Akiba: Romero, Darmian, Riley, Carrick, Schweinsteiger, Weir,Herrera

REFA: Carlos Velasco Carballo (Spain)
EUROPA LEAGUE - Raundi ya Mtoano ya Timu 16
FC Shakhtar Donetsk 3 RSC Anderlecht 1
FC Basel 0 Sevilla FC 0
Borussia Dortmund 3 Tottenham Hotspur 0
Fenerbahce 1 SC Braga 0
Villarreal CF 2 Bayer 04 Leverkusen 0
Athletic Club 1 Valencia CF 0
Liverpool 2 Manchester United 0
Sparta Prague 1 Lazio 1

**Marudiano Alhamisi Machi 17
KALENDA
Raundi ya Timu 16-Mechi ya Kwanza: 10 Machi
Raundi ya Timu 16-Mechi ya Pili: 17 Machi
Robo Fainali-Droo: 18 Machi, Nyon
Robo Fainali-Mechi ya Kwanza: 7 Aprili
Robo Fainali-Mechi ya Pili: 14 Aprili
Nusu Fainali-Droo: 15 Aprili
Nusu Fainali-Mechi ya Kwanza: 28 Aprili
Nusu Fainali-Mechi ya Pili: 5 Mei
Fainali: 18 Mei, St. Jakob-Park, Basel, Uswisi

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply