• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MAN CITY HIYO NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA, KIJANA MBELGIJI AKIWAMALIZA PSG ZLTAN, DI MARIA NDANI.



De Bruyne ndiye shujaa baada ya kufunga bao pekee lililoipa Man City ushindi wa bao 1-0 dhidi ya PSG katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Awali, Kun Aguero alikosa penalti baada ya kuangushwa lakini Mbelgiji De Bruyne akarekebisha mambo kwa kufunga bao safi na City imeshinda kwa jumla ya mabao 3-2 baada ya sare ya 2-2 jijini Paris sasa inakwenda nusu fainali.

Manchester City (4-2-3-1): Hart; Sagna, Otamendi, Mangala, Clichy; Fernando, Fernandinho; Navas, Silva (Delph 87'), De Bruyne (Toure 84'), Aguero
Subs not used: Caballero, Iheanacho, Bony, Kolarov, Zabaleta
Goals: De Bruyne 76'
Booked: Fernandinho
Manager: Manuel Pellegrini
Paris Saint Germain (3-5-2): Trapp, Thiago Silva, Marquinhos, Aurier (Pastore 61'); Van der Wiel, Thiago Motta (Lucas 44'), Rabiot, Di Maria, Maxwell; Cavani, Ibrahimovic
Subs not used: Sirigu, Kimpembe, Stambouli, Kurzawa, Ongenda
Goals:
Booked: Trapp, Pastore, Van der Wiel
Manager: Laurent Blanc 
Referee: Carlos Velasco Carballo
























«
Next
Katibu Mkuu CHADEMA, Dr. Vincent Mashinji aripoti rasmi ofisini Kwake.
»
Previous
RONALDO, ‘JESHI LA MTU 1’, ATIMIZA NDOTO YA REAL YA ‘REMONTADA’, APIGA HETITRIKI, WASONGA NUSU FAINALI ULAYA.

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply