SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Katibu Mkuu CHADEMA, Dr. Vincent Mashinji aripoti rasmi ofisini Kwake.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), DR.Vincent Mashinji jana ameripoti rasmi kwenye ofisi yake mpya jijini Dar es Salaam na kupokelewa na viongozi mbalimbali waandamizi wa chama hicho akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salumu Mwalimu.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply