SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LA LIGA: REKODI YAGOMA, RONALDO ASHINDWA KUFUNGA, BENZEMA AIPA USHINDI REAL


RONALDO-5BAO la Dakika ya 55 la Karim Benzema limewapa Real Madrid ushindi wa Bao 1-0 walipocheza kwao Santiago Bernbaeu na Granada kwenye Mechi ya La Liga ambayo Cristiano Ronaldo alikosa kufunga na hivyo kukosa kuivunja Rekodi ya Bao nyingi kwa Klabu yao inayoshikiliwa na Raul.
Hivi sasa Ronaldso anazo Bao 321 kwa Real zikiwa ni Bao 2 tu nyuma ya Rekodi ya Straika wa zamani wa Real, Raul.
Raul ameifungia Real Jumla ya Mabao 323 kwa Mechi 741 wakati Ronaldo ana Bao 321 kwa Mechi 304 tu.
Wikiendi iliytopita Ronaldo aliivunja Rekodi ya Raul ya Bao nyingi kwenye La Liga ya Bao 228.
LA LIGA
RATIBA/MATOKEO:
**Saa za Bongo
Ijumaa Septemba 18
Getafe CF 1 Malaga CF 0
Jumamosi Septemba 19
Real Madrid CF 1 Granada CF 0
1915 Valencia C.F v Real Betis
2130 SD Eibar v Atletico de Madrid
2300 Real Sociedad v RCD Espanyol
Jumapili Septemba 20
1300 Sevilla FC v Celta de Vigo
1700 Deportivo La Coruna v Sporting Gijon
1915 Villarreal CF v Athletic de Bilbao
2130 FC Barcelona v Levante
2300 Las Palmas v Rayo Vallecano

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply