SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / DABI MANCHESTER, HAKUNA MBABE, SPURS YAFUMUA 5, HARRY KANE HETITRIKI!




LIGI KUU ENGLAND
RATIBA/MATOKEO:
Jumapili Oktoba 25
Sunderland 3 Newcastle 0          
Bournemouth 1 Tottenham 5       
Man United 0 Man City 0            
1915 Liverpool v Southampton             
            
MANUNITED-CITY-OKT25Man City Leo wamerudi tena kileleni mwa Ligi Kuu England baada ya kutoka Sare ya 0-0 huko Old Trafford na Man United kwenye Dabi ya Jiji la Manchester.

Mechi hii ilikosa Mashuti yeyote yaliyolenga Magoli licha ya Man United kutawala kwa kipindi kirefu.

Shuti la kwanza kabisa Golini lilikuja mwishoni katika Dakika ya 82 wakati shuti la Jesus Navas kudakwa na Kipa wa Man United David De Gea na Dakika ya 84 Man United nusura wapate Bao baada ya mkwaju wa Jesse Lingard kugonga posti ya juu na kisha Kipa Joe Hart kuokoa shuti la Chris Smalling.

Katika Mechi nyingine ya Ligi Kuu England, Bournemouth wakiwa kwao walitandikwa Bao 5-1 na BPL-STAND-OKT25Tottenham huku Harry Kane akipiga Hetitriki.
Bao nyingine za Spurs zilifungwa na Mousa Dembele na Erik Lamela wakati Bao pekee la Bournemouth likifungwa na Matt Ritchie.

VIKOSI:
Manchester United: De Gea; Valencia, Jones, Smalling, Rojo; Schweinsteiger, Schneiderlin; Mata, Ander Herrera, Martial; Rooney
Akiba: Depay, Carrick, Blind, Romero, Fellaini, Lingard, Darmian.

Manchester City: Hart; Sagna, Kompany, Otamendi, Kolarov; Fernando, Fernandinho, De Bruyne, Toure, Sterling, Bony
Akiba: Zabaleta, Caballero, Jesus Navas, Mangala, Demichelis, Roberts, Iheanacho.
REFA: Mark Clattenburg
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
**Saa za Bongo
Jumamosi Oktoba 31
1545 Chelsea v Liverpool  
1800 Crystal Palace v Man United          
1800 Man City v Norwich            
1800 Newcastle v Stoke             
1800 Swansea v Arsenal             
1800 Watford v West Ham          
1800 West Brom v Leicester                  
Jumapili Novemba 1
1630 Everton v Sunderland                  
1900 Southampton v Bournemouth                 
Jumatatu Novemba 2
2300 Tottenham v Aston Villa     

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply