SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / DABI YA MERSEYSIDE: NGOMA NGUMU!


LIGI KUU ENGLAND     
RATIBA/MATOKEO:
Everton 1 Liverpool 1       
1800 Arsenal v Man United             
1800 Swansea v Tottenham  

EVERTON-LIVERPOOL1LEO huko Goodison Park, Uwanja uliopo Kitongoji cha Merseyside Jijini Liverpool ilipigwa Dabi ya Mahasimu, Everton na Liverpool, kwenye Mechi ya Ligi Kuu England ambayo ilimalizika kwa Sare ya Bao 1-1
Liverpool walipata Bao lao Dakika ya 41 baada ya Krosi ya ya James Milner, kufuatia Kona, kuangunishwa kwa Kichwa na Danny Ings.
Dakika ya 46 Romelu Lukaku aliisawazishia Everton kwa Shuti safi la chini.
Haftaimu, Everton 1 Liverpool 1.
Matokeo haya yameifanya Everton ikamate Nafasi ya 6 na Liverpool washike Nafasi ya 10.
VIKOSI:
Everton: Howard; Browning, Jagielka, Funes Mori, Galloway; McCarthy, Barry; Deulofeu, Barkley, Naismith; Lukaku
Akiba: Robles, Gibson, Oviedo, Kone, Lennon, Osman, Holgate.
Liverpool: Mignolet; Can, Skrtel, Sakho; Clyne, Milner, Lucas, Moreno; Coutinho; Sturridge, Ings
Akiba: Gomez, Lallana, Allen, Origi, Ibe, Bogdan, Rossiter.
REFA: Martin Atkinson
EVERTON-LIVERPOOL
LIGI KUU ENGLAND                                                                                       
RATIBA:.
**Saa za Bongo
Jumamosi Oktoba 17
1445 Tottenham v Liverpool                 
1700 Chelsea v Aston Villa          
1700 Crystal Palace v West Ham           
1700 Everton v Man Utd             
1700 Man City v Bournemouth              
1700 Southampton v Leicester              
1700 West Brom v Sunderland              
1930 Watford v Arsenal              
Jumapili Oktoba 18
1800 Newcastle v Norwich          
Jumatatu Oktoba 19
2200 Swansea v Stoke

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply