SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Prof. Mark James Mwandosya Atoa Kauli ya Kuhama...Anakukaribisha Anapohamia..Soma Hapa


Katika akaunti yake ya facebook Prof. Mark James Mwandosya ameandika:-

"Mitandao ya mawasiliano leo imesheheni tena taarifa za Profesa Mwandosya kuhama. Napenda kuwathibitishia ndugu, marafiki, na watanzania wenzangu, tena kwa ukweli kabisa, kwamba nahama, kutoka Dar es Salaam kwenda kijijini Lufilyo, Busokelo. Karibuni sana kijijini"-Prof. Mark James Mwandosya

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply