SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Taarifa Sahihi Baada ya Taarifa ya Kuwa Dr Mary Nagu Amekamatwa na Masanduku Kumi ya Kupiga Kura yakiwa na Karatasi za Kura zilizokwisha Pigwa



Taarifa ya awali ya uzushi iliyosambaa Mtandaoni:
Wakuu kwa habari za hivi punde kutoka Hanang ni kuwa Dr Mary Nagu amekamatwa na maboksi kumi ya kura yakiwa yashapigiwa kura tayari huko Hanang. Sasa hivi amekamatwa yupo Polisi,taarifa zaidi zinakuja.
TAARIFA SAHIHI:
JamiiForums imemtafuta RPC wa Mkoa wa Manyara, Christropher Fuime na kufahamishwa kuwa taarifa hizi ni za uwongo na zenye malengo ya kisiasa.
Masanduku yote ya kupigia kura yapo mikononi mwa mamlaka husika na hakuna mtu yeyote aliyekamatwa na sanduku la kura wala wao kama Polisi hawana taarifa toka jimbo lolote mkoani humo kuhusiana na hili.
Source:JF
Note: Epuka Kusambaza Taarifa zisozokuwa na uhakika wakati huu wa Uchaguzi Mkuu..

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply