Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe
kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]
Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa
madarakani, nae mgombea Urais kupitia CCM John Pombe Magufuli amewapa
onyo kuhusu kukatika mara kwa mara.
Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine.
Tunaomba Hali iendelee hivi hivi
Tagged with: MATUKIO
Hakuna maoni :