SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Tanesco Waogopa Kauli za Wagombea Magufuli na Lowassa za Kuwawajibisha

Kwa siku ya pili mfululizo nashuhudia umeme kutokukatika tangu zitolewe kauli za wagombea wawili wenye nguvu [Magufuli & Lowassa]

Lowassa amewatahadharisha kuwa wajiandae kuwajibika pindi atakapokuwa madarakani, nae mgombea Urais kupitia CCM John Pombe Magufuli amewapa onyo kuhusu kukatika mara kwa mara.

Tangu jana naona Dar es salaam wamerudisha umeme, sijui mikoa mingine.

Tunaomba Hali iendelee hivi hivi

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply