SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi Yaanza Kutangaza Matokeo ya Urais......Majimbo Matatu yametangazwa na Yote Yamechukuliwa na CCM

 
Tume  ya  Taifa  ya  Uchaguzi  imeanza  zoezi  la  kutangaza  Matokeo  ya  Urais  ambapo  mpaka  sasa  majimbo  matatu  yametangazwa. 

 Majimbo  Yaliyotangazwa  ni  Jimbo  la  Makunduchi,Pache  na  Lulindi
Katika  majimbo  yote  matatu  yaliyotangazwa, Dr Magufuli  ameongoza  kwa  mbali  dhidi  ya  mpinzani  wale  Edward  Lowassa.


«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply