Novemba 21-Desemba 5
KUNDI A |
KUNDI B
|
KUNDI C
|
Ethiopia Rwanda Tanzania Somalia |
Kenya Uganda Burundi Zanzibar |
Sudan
Malawi South Sudan Djibouti |
MECHI za CECAFA CHALENJI CUP zimeendelea Leo huko Ethiopia kwa ushindi wa Malawi na South Sudan zikiwa ni Mechi za Kundi C.
Katika Mechi ya kwanza hii Leo, South Sudan iliichapa Djibouti Bao 2-0 kwa Bao za Bruno Martinez na Dominic Aboyo na kisha Malawi kuifunga Sudan 2-1 kwa Bao za Dehtso Sayileon na Chiukepo Msowoya na Sudan kufunga kupitia Ather El Tahir lakini pia walikosa Penati ya Dakika ya 75.
Kesho Jumanne, Zanzibar, ambao walifungwa 1-0 na Burundi katika Mechi yao ya kwanza, watacheza na Uganda ambao walichapwa 2-0 na Kenya zikiwa ni Mechi za Kundi B.
Baada ya Mechi hiyo itakuja Mechi ya Kundi A kati ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars, na Rwanda ambazo zote zilishinda Mechi zao za kwanza.
Kili Stars iliichapa Somalia 4-0 na Rwanda kuwafunga Wenyeji Ethiopia 1-0.
CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP 2015
RATIBA/MATOKEO:
**Saa: Mechi ya Kwanza Saa 10 na ya Pili Saa 12
Jumamosi Novemba 21
Burundi 1 Zanzibar 0
Ethiopia 0 Rwanda 1
Jumapili Novemba 22
Somalia 0 Tanzania 4
Kenya 2 Uganda 0
Jumatatu Novemba 23
South Sudan 2 Djbouti 0
Sudan 1 Malawi 2
Jumanne Novemba 24
Zanzibar Vs Uganda
Rwanda Vs Tanzania
Jumatano Novemba 25
Kenya Vs Burundi
Somalia Vs Ethiopia
Malawi v Djibouti
South Sudan v Sudan
Ijumaa Novemba 27
Rwanda Vs Somalia
Zanzibar Vs Kenya
South Sudan v Malawi
Djibouti V Sudan
Jumamosi Novemba 28
Uganda Vs Burundi
Tanzania Vs Ethiopia
Robo Fainali
Jumatatu Novemba 30
B1 Vs C2 [19]
A1 Vs best Q2 [20]
Jumanne Desemba 1
C1 Vs best Q2 [21]
A2 Vs B2 [22]
Nusu Fainali
Alhamisi Desemba 3
Mshindi 19 Vs Mshindi 20
Mshindi 21 Vs Mshindi 22
Jumamosi Desemba 5
Mshindi wa Tatu
Fainali
Hakuna maoni :