SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / JAMAL MALINZI AISAWAZISHIA SOMALIA BAO ZOTE NNE






Pamoja na Kilimanjaro Stars kushinda mabao 4-0 dhidi ya Somalia katika michuano ya Chalenji, Rais wa TFF, Jamal Malinzi ameipa Somalia mabao manne.


Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Malinzi aliandika Kili Stars 4-4 Somalia, jambo halikuwa sawa sawa kwa kuwa Stars ilikuwa inaongoza kwa mabao 4-0.

Hata hivyo, baadhi ya watu walimkumbusha Malinzi na kumueleza vijana wake walikuwa wakiongoza kwa mabao 4-0, akashituka.


Baada ya hapo, haraka alibadilisha na baadaye kuomba radhi akisistiza alipitiwa.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply