Home / MICHEZO / KIPA WA ZAMANI WA TOTTENHAM, SUNDERLAND AFARIKI DUNIA KWA KANSA KIPA WA ZAMANI WA TOTTENHAM, SUNDERLAND AFARIKI DUNIA KWA KANSA Posted by Unknown 09:16 0 Kipa wa zamani wa Sunderland, Marton Fulop amefariki akiwa na umri wa miaka 32. Fulop amefariki kutokana na ugonjwa wa kansa ambao ulimshambulia kwa muda mrefu. Kipa huyo alizichezea timu nane za Ligi Kuu england baada ya kujiunga na Tottenham akitokea MTK Budapest mwaka 2004. Tagged with: MICHEZO « Next Chapisho Jipya » Previous Taarifa za zamani About Unknown Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.
Hakuna maoni :