SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / HUU NI UTANI WA NGUMI KWA CHELSEA.

 

Inafahamika kwamba Chelsea wapo katika hali mbaya msimu huu wakiwa nafasi ya 16 katika msimamo wa EPL ambapo wamekusanya pointi 15 kufuatia kucheza mechi 16, na kushinda 4, sare 3 na kufungwa 9.
Mabingwa hao watetezi mpaka sasa wamefunga magoli 18 tu, huku baadhi ya nyota wake akiwemo Eden Hazard wakikabiliwa na ukame wa kucheka na nyavu.
Sasa watu hawakosi cha kusema kutokana na hali hiyo ya Hazard, chiki picha hapa chini:
Hapa chini ndio msimamo wenyewe wa EPL,ligi maarufu kuliko zote duniani:
PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Leicester City16105134221235
2Arsenal16103329131633
3Manchester City16102432171532
4Manchester United168532112929
5Tottenham Hotspur1668226141226
6Crystal Palace168262115626
7Watford167451816225
8West Ham United166642521424
9Liverpool166642019124
10Everton165832921823
11Stoke City166551314-123
12Southampton165652119221
13West Bromwich Albion165561621-520
14Bournemouth164482031-1116
15Newcastle United164481831-1316
16Chelsea164391826-815
17Swansea City163581524-914
18Norwich City163581828-1014
19Sunderland1633101730-1312
20Aston Villa1613121330-176

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply