LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumamosi Desemba 12
1545 Norwich v Everton
1800 Crystal Palace v Southampton
1800 Man City v Swansea
1800 Sunderland v Watford
1800 West Ham v Stoke
2030 Bournemouth v Man United
Jumapili Desemba 13
1630 Aston Villa v Arsenal
1900 Liverpool v West Brom
1900 Tottenham v Newcastle
Jumatatu Desemba 14
2300 Leicester v Chelsea
+++++++++++++++++++++++++++
MAN CITY au Man United, ambao wamefungana kwa Pointi, zina nafasi za kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England Jumamosi ikiwa mmoja atashinda Mechi yake na mwingine kuteleza kwa vile Vinara hawachezi Siku hiyo.
Jumamosi Man City, ambao wako Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Vinara Leicester City, wako kwao Etihad kucheza na Swansea City ambayo haina Meneja baada ya Garry Monk kutimuliwa.
Ikiwa Man City watashinda Mechi hii watazifikia Pointi za Leicester kileleni na kuwapiku kwa ubora wa Magoli.
Baadae hiyo Jumamosi, Man United wapo Ugenini kucheza na Bournemouth ambayo Wikiendi iliyopita iliichapa Chelsea huko Stamford Bridge.
Ikiwa Man City watateleza Mechi yao ya mapema na Man United watashinda Mechi yao kwa Bao 2 au zaidi, Man United watatwaa uongozi wa Ligi.
Lakini uongozi huo utadumu hadi Jumapili wakati Arsenal watakapocheza ugenini na Aston Villa na ushindi kwao utawaweka kileleni pengine hadi Jumatatu Usiku na Leicester kurudi tena kileleni ikiwa wataifunga Chelsea Uwanjani King Power.
LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumamosi Desemba 19
1800 Chelsea v Sunderland
1800 Everton v Leicester
1800 Man United v Norwich
1800 Southampton v Tottenham
1800 Stoke v Crystal Palace
1800 West Brom v Bournemouth
2030 Newcastle v Aston Villa
Jumapili Desemba 20
1630 Watford v Liverpool
1900 Swansea v West Ham
Jumatatu Desemba 21
2300 Arsenal v Man City
Jumapili Desemba 26
1545 Stoke v Man United
1800 Aston Villa v West Ham
1800 Bournemouth v Crystal Palace
1800 Chelsea v Watford
1800 Liverpool v Leicester
1800 Man City v Sunderland
1800 Swansea v West Brom
1800 Tottenham v Norwich
2030 Newcastle v Everton
2245 Southampton v Arsenal
Jumatatu Desemba 28
1800 Crystal Palace v Swansea
1800 Everton v Stoke
1800 Norwich v Aston Villa
1800 Watford v Tottenham
1800 West Brom v Newcastle
2030 Arsenal v Bournemouth
2030 Man United v Chelsea
2030 West Ham v Southampton
Jumanne Desemba 29
2245 Leicester v Man City
Jumatano Desemba 30
2245 Sunderland v Liverpool
Jumamosi Januari 2
1545 West Ham v Liverpool
1800 Arsenal v Newcastle
1800 Leicester v Bournemouth
1800 Man United v Swansea
1800 Norwich v Southampton
1800 Sunderland v Aston Villa
1800 West Brom v Stoke
2030 Watford v Man City
Jumapili Januari 3
1630 Crystal Palace v Chelsea
1900 Everton v Tottenham
MUGABE: ACHENI
KUGOMBANIA KITI CHANGU"
Image copyrightAP
Image captionRais Robert Mugabe
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa kukoma mara moja
kugombania kuhusu nani atamarithi.
Rais huyo mwenye umri wa miaka 91, amesema hayo katika kongamano la kila
mwaka la chama tawala- Zanu-PF huko Victoria Falls.
Pia amevishutumu vikosi vya jeshi, Polisi na idara ya ujasusi kwa
kuungana na wanaopigania wadhfa wa urais huku wakijadiliana kuhusu ni
nani atakayechukua mahala pake.
Bw Mugabe amesema kuwa hakuna mabadiliko katika uongozi wa taifa hilo.
Waandishi habari wanasema kuwa, kumekuwa na tetesi kuwa mkewe, Grace
Mugabe, huenda akapandishwa cheo na kuwa makamu wa Rais.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

Hakuna maoni :