SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / LIGI KUU ENGLAND: JUMAMOSI MAN UNITED AU CITY KUSHIKA USUKANI?

LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumamosi Desemba 12
1545 Norwich v Everton             
1800 Crystal Palace v Southampton                
1800 Man City v Swansea           
1800 Sunderland v Watford        
1800 West Ham v Stoke   
2030 Bournemouth v Man United
Jumapili Desemba 13
1630 Aston Villa v Arsenal          
1900 Liverpool v West Brom                 
1900 Tottenham v Newcastle                
Jumatatu Desemba 14
2300 Leicester v Chelsea
+++++++++++++++++++++++++++
BPL-SIT-2015-16MAN CITY au Man United, ambao wamefungana kwa Pointi, zina nafasi za kutwaa uongozi wa Ligi Kuu England Jumamosi ikiwa mmoja atashinda Mechi yake na mwingine kuteleza kwa vile Vinara hawachezi Siku hiyo.

Jumamosi Man City, ambao wako Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Vinara Leicester City, wako kwao Etihad kucheza na Swansea City ambayo haina Meneja baada ya Garry Monk kutimuliwa.

BPL-DES11
Ikiwa Man City watashinda Mechi hii watazifikia Pointi za Leicester kileleni na kuwapiku kwa ubora wa Magoli.

Baadae hiyo Jumamosi, Man United wapo Ugenini kucheza na Bournemouth ambayo Wikiendi iliyopita iliichapa Chelsea huko Stamford Bridge.

Ikiwa Man City watateleza Mechi yao ya mapema na Man United watashinda Mechi yao kwa Bao 2 au zaidi, Man United watatwaa uongozi wa Ligi.

Lakini uongozi huo utadumu hadi Jumapili wakati Arsenal watakapocheza ugenini na Aston Villa na ushindi kwao utawaweka kileleni pengine hadi Jumatatu Usiku na Leicester kurudi tena kileleni ikiwa wataifunga Chelsea Uwanjani King Power.

LIGI KUU ENGLAND
Ratiba
**Saa za Bongo
Jumamosi Desemba 19
1800 Chelsea v Sunderland                  
1800 Everton v Leicester            
1800 Man United v Norwich                 
1800 Southampton v Tottenham           
1800 Stoke v Crystal Palace                  
1800 West Brom v Bournemouth           
2030 Newcastle v Aston Villa                
Jumapili Desemba 20
1630 Watford v Liverpool           
1900 Swansea v West Ham                  
Jumatatu Desemba 21
2300 Arsenal v Man City   
Jumapili Desemba 26
1545 Stoke v Man United  
1800 Aston Villa v West Ham                
1800 Bournemouth v Crystal Palace                
1800 Chelsea v Watford             
1800 Liverpool v Leicester          
1800 Man City v Sunderland                 
1800 Swansea v West Brom                 
1800 Tottenham v Norwich         
2030 Newcastle v Everton          
2245 Southampton v Arsenal                
Jumatatu Desemba 28
1800 Crystal Palace v Swansea             
1800 Everton v Stoke                 
1800 Norwich v Aston Villa         
1800 Watford v Tottenham         
1800 West Brom v Newcastle               
2030 Arsenal v Bournemouth                
2030 Man United v Chelsea                  
2030 West Ham v Southampton            
Jumanne Desemba 29
2245 Leicester v Man City 
Jumatano Desemba 30
2245 Sunderland v Liverpool                
Jumamosi Januari 2
1545 West Ham v Liverpool                  
1800 Arsenal v Newcastle           
1800 Leicester v Bournemouth              
1800 Man United v Swansea                 
1800 Norwich v Southampton               
1800 Sunderland v Aston Villa              
1800 West Brom v Stoke            
2030 Watford v Man City            
Jumapili Januari 3
1630 Crystal Palace v Chelsea               
1900 Everton v Tottenham   
MUGABE: ACHENI KUGOMBANIA KITI CHANGU" Image copyrightAP Image captionRais Robert Mugabe Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe, amewataka wanasiasa kukoma mara moja kugombania kuhusu nani atamarithi. Rais huyo mwenye umri wa miaka 91, amesema hayo katika kongamano la kila mwaka la chama tawala- Zanu-PF huko Victoria Falls. Pia amevishutumu vikosi vya jeshi, Polisi na idara ya ujasusi kwa kuungana na wanaopigania wadhfa wa urais huku wakijadiliana kuhusu ni nani atakayechukua mahala pake. Bw Mugabe amesema kuwa hakuna mabadiliko katika uongozi wa taifa hilo. Waandishi habari wanasema kuwa, kumekuwa na tetesi kuwa mkewe, Grace Mugabe, huenda akapandishwa cheo na kuwa makamu wa Rais.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply