Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa
TAKUKURU Dr. Edward Hoseah kwa kutoridhishwa na utendaji wake. Nafasi
yake itakaimiwa na Valentino Mlowola
Pia amewasimamisha kazi watumishi wanne wa TAKUKURU kwa
kukiuka agizo lake la kutosafiri nje ya nchi, awataka watumishi wote wa
Umma kutii agizo lake
Hakuna maoni :