SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Rais John Magufuli Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Takururu Dr Edward Hosea..Sababu Hizi Hapa

Rais Magufuli leo ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Dr. Edward Hoseah kwa kutoridhishwa na utendaji wake. Nafasi yake itakaimiwa na Valentino Mlowola

Pia amewasimamisha kazi watumishi wanne wa TAKUKURU kwa kukiuka agizo lake la kutosafiri nje ya nchi, awataka watumishi wote wa Umma kutii agizo lake

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply