SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / Raisi wa Tanzania Anaongozwa Kwa Kupendwa Africa


Imethibitika katika uchunguzi uliofanya na taasisi moja inayojiushisha na tafiti mbalimbali imebainika kuwa rais wa Tanzania Mr. John Magufuli anaongoza katika bara la Afrika kuwa ni rais anaepedwa sana na raia wake kuliko rais yoyote barani humu.

Inasemekana rais huyu anakadiriwa na zaidi ya watu milion 35 ndani ya nchi yake pekee wanampenda toka moyoni kabisa , pia zaidi ya watu milion 4 mpaka 6 katika  nchi za Kenya , na Uganda.

Pia imejumuisha na wale waishio nje ya bara hili, rais wa pili ni rais mpya wa Nigeria , Kagame kashika nafasi ya 3 akifatiwa na Zuma

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply