SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / SIMBA YAITULIZA KIMBUNGA FC, YAITWANGA MABAO 5-2 ZANZIBAR



Simba imeiangushia mvua ya mabao Kimbunga FC ya Zanzibar katika mechi ya kirafiki mjini humo.


Simba iliyotawala mchezo huo ikiwa ni sehemu ya kambi yake kujiandaa na Ligi Kuu Bara, ilianza kupata bao la kwanza katika dakika ya 14 kupitia Ibrahim Ajibu, ikaongeza la pili dakika ya 32 kupitia Danny Lyanga.

Nahodha Mussa Hassan Mgosi akaongeza bao la tatu katika dakika ya 38 na Simba ikaenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 3-1.

Kipindi cha pili, Kimbunga walipata bao la pili, lakini Simba ikafunga mengine mawili kupitia Ajibu.

Mchezo ulikuwa mzuri lakini kocha wa Simba, Dylan Kerr alitoa zaidi ya wacheaji wanne akionekana alitaka kukipima hasa kikosi chake.

KIKOSI:
Peter Manyika
Emery Nimubona
Said Issa
Nova Lufungo
Mohamed fhaki
Abdi Banda
Mwinyi Kazimoto
Mussa mgosi
Joseph Kimwaga
Ibrahim Ajibu
Danny Lyanga

WALIOTOKA:
Mgosi
Emery
Kimwaga
Kzimoto

WALIOINGIA:
Ugando
Mwalyanzi
Majwega

Saleh khamis

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply