Home / MICHEZO / CANNAVARO, MWINYI WAREJEA DAR, WAJIUNGA NA YANGA NA KUANZA MAZOEZI CANNAVARO, MWINYI WAREJEA DAR, WAJIUNGA NA YANGA NA KUANZA MAZOEZI Posted by Unknown 11:33 0 Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub Cannavaro, leo amerejea na kujiunga na kikosi hicho. Cannavaro sambamba na Haji Mwinyi wamejiunga na kikosi cha Yanga wakitokea Ethiopia walipokwenda kushiriki michuano ya Chalenji wakiitumikia Zanzibar. Cannavaro amesema michuano haikuwa mizuri upande wao, lakini sasa wamerejea Yanga na nguvu zao zote wanazielekeza upande huo. “Sasa tumerejea katika klabu yetu, nguvu na akili zote ni hapa kwa ajili ya ligi kuu na michuano mingine,” alisema Cannavaro. Tagged with: MICHEZO « Next Chapisho Jipya » Previous Taarifa za zamani About Unknown Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.
Hakuna maoni :