SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / ULIMWENGU AUMIA TP MAZEMBE, LAKINI MAMBO NI SAFI KABISA


Mshambuliaji nyota wa TP Mazembe, Thomas Ulimwengu ameumia.


Ulimwengu ameumia mguu wake akiwa mazoezini, hata hivyo tayari amepata matibabu.

“Aliumia lakini amepata matibabu na ataendelea na mazoezi na wenzake kama kawaida,” alisema mmoja wa maofisa wa TP Mazembe.


Picha moja mtandaoni imemuonyesha Ulimwengu akipatiwa huduma ya matibabu ya kisasa kabisa.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply