SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / YULE BINTI MPIGA DANADANA, ANAOMBA MSAADA WENU MAANA YU TAABANI KAUNGUZWA MAJI YA MOTO


Si unamjua yule binti mkali wa kupiga danadana na kuuchezea mpira, sasa yuko taabani hospitali ya Mwanyamala.


Anaitwa Hadhara Charles, ameungua mgongoni, mikono pia baada ya kumwagiwa maji na mtu aliyeitwa ni mke wa mjomba wake.

Hadhara amesema: “Kulitokea mzozo, wakanitaka nihame. Wakati naondoka mke wa mjomba wangu akanimwagia maji ya moto mgongoni. Ninasikia maumivu makali sana.”



Binti huyo anaomba msaada na amelazwa katika wodi namba 3 Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Hadhara amekuwa maarufu kutokana na uwezo wake mkubwa wa kuuchezea mpira.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply