SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / BEKI WA SIMBA AUKUBALI MZIKI WA LIGI KUU BARA, ASEMA NI ZAIDI YA ALIKOTOKA


Beki Emiry Nimubona wa Simba amekubali kuwa mziki wa Ligi Kuu Bara si mchezo, inabiki kujiweka sawa.

Beki huyo wa pembeni wa Simba, raia wa Burundi amesema ushindani wa Ligi Kuu Bara uko juu sana.
“Ushindani uko juu sana, watu wanapambana na lazima uwe fiti kwa kuwa watu wanapigana kweli,” alisema.

“Kila mtu anataka kuona timu yake inashinda, kila mchezaji anataka kutoka uwanjani na pointi tatu,” aliongeza.


Alisema licha ya kucheza katika ligi za Rwanda na Burundi, lakini kwa wiki kadhaa alizokaa Tanzania, ameona kuwa ni ligi ngumu na ataendelea kupambana.

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply