SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / EMIRATES FA CUP: MARUDIO RAUNDI YA 3, VILLA, WBA ZASONGA, LEO LIVERPOOL V EXETER, LEICESTER V SPURS.

EMIRATES-FACUPTimu za Ligi Kuu England, Aston Villa na West Bromwich Albion, Jana ziliepuka fedheha ya kubwagwa nje ya EMIRATES FA CUP baada ya kushinda Mechi zao za Marudiano za Raundi ya 3 dhidi ya Timu za Madaraja ya chini.

Aston Villa, wakicheza kwao Villa Park na Wycombe waliyotoka nayo Sare katika Mechi ya kwanza, Jana walishinda 2-0 na kutinga Raundi ya 4 ambayo watakutana na Man City.

Nao WBA waliitungua Bristol City 1-0 na sasa Raundi ya 4 wataivaa Peterborough.

Leo, huko Anfield, Liverpool wanarudiana na Timu ya Ligi 2, Exeter, baada ya kutoka nayo 2-2 huko Exter City hapo Hanuari 8.

Siku hiyo hiyo, huko King Power Stadium, Leicester City, Timu ambayo ipo kileleni mwa Ligi Kuu England, itarudiana na Tottenham baada ya kutoka 2-2 huko White Hart Lane.

Hii itakuwa mara ya 3 kwa Timu hizi kukutana baada ya Juzi pia Leicester kuichapa Tottenham 1-0 huko White Hart Lane kwenye Ligi. 

EMIRATES FA CUP
Marudiano-Raundi ya 3


Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku isipokuwa inapotajwa

Jumanne Januari 19

Aston Villa 2 Wycombe 0
Bolton 3 Eastleigh 2
Bradford 0 Bury 0 [Bury Penati 4-2]
Bristol City 0 West Brom 1
MK Dons 3 Northampton 0
Portsmouth 2 Ipswich 1
Yeovil 1 Carlisle 1 [Carlisle Penati 5-4]
Reading 5 Huddersfield 2


Jumatano Januari 20
Leicester v Tottenham
2300 Liverpool v Exeter 


EMIRATES FA CUP
Raundi ya 4
Ijumaa Januari 29
2255 Derby v Man United 
Jumamosi Juni 30
1545 Colchester v Tottenham or Leicester 
                
[Zote kuanza Saa 12 Jioni]
Arsenal v Burnley             
Crystal Palace v Stoke                
Nottm Forest v Watford              
Oxford Utd v Blackburn              
Shrewsbury v Sheff Wed            
Portsmouth v Bournemouth                  
Aston Villa v Man City                
Reading v Walsall             
Bolton v Leeds                 
West Brom v Peterborough         
Bury v Hull            
2030 Exeter au Liverpool v West Ham  

Sunday 31st January 2016
1630 Carlisle v Everton              
1900 MK Dons v Chelsea  

THE EMIRATES FA CUP 2015/16
TAREHE MUHIMU
Raundi ya 3
Ijumaa 9 Januari 2016
Raundi ya 4
Jumamosi 30 Januari 2016
Raundi ya 5
Jumamosi 20 Februari 2016
Raundi ya 6-Robo Fainali
Jumamosi 12 Machi 2016
Nusu Fainali
Jumamosi 23 Aprili 2016 & Jumapili 24 Aprili 2016
Fainali
Jumamosi 21 Mei 2016

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply