SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / MTANDAO WAMTWIKA MBWANA SAMATTA URAIA WA DR CONGO.

KWAMBA SAMATTA ANATOKEA DR CONGO....EEH!

Pamoja na umahiri wa mtandao wa Wikipedia lakini ajabu umeshindwa kujua uraia wa Mbwana Samatta anayekipiga TP Mazembe ya DR Congo.

Badala yake umembandika uraia wa DR Congo ikiwa ni saa chache baada ya kubeba tuzo ya mwanasoka Afrika kwa wanaocheza barani Afrika.


Mtandao huo maarufu duniani ulionyesha Samatta ni raia wa DR Congo. Lakini baada ya saa kadhaa ulibadili na kuweka taarifa mpya inayoonyesha kuwa uraia wake ni Tanzania ikiwa ni sehemu ya kurekebisha kosa hilo.
ILIONEKANA HIVI BAADA YA KUBADILI

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply