SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / ROOOOOOONEEEEY, NYAVUNI TENA, MAN UNITED YASHINDA 2-1 DHIDI YA SWANSEA, MARTIAL KAMA KAWA



Man United imeanza kuinua matumaini baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Swansea leo.

Raha zaidi, nahodha wake, Wayne Rooney aliyekuwa akiandamwa na ukame wa mabao, amerejea baada ya kufunga bao la pili katika dakika ya 77 baada ya Anthony Martial kuwa ameishatupia la kwanza katika dakika ya 47.

Manchester United: De Gea 6, Young 7 (McNair 78, 6), Jones 5.5 (Darmian 46, 6), Smalling 6, Blind 6.5, Schneiderlin 6, Schweinsteiger 5, Mata 6.5, Ander Herrera 6.5 (Carrick 90), Martial 8, Rooney 7
Subs not used: Depay, Romero, Fellaini, Andreas Pereira
Booked: Smalling 
Goals: Martial 47, Rooney 77 
Swansea: Fabianski 6.5, Rangel 6, Fernandez 5.5, Williams 6.5, Taylor 5, Ki 6, Britton 5.5 (Barrow 62, 6.5), Cork 6.5, Routledge 6 (Montero 82), Ayew 6.5 (Gomis 82), Sigurdsson 7
Subs not used: Amat, Nordfeldt, Grimes, Naughton
Booked: Rangel 
Goal: Sigurdsson 70
Referee: Jon Moss 6
Star man: Martial 
Att: 75,415
*Player ratings by Chris Wheeler















«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply