• Manchester City (4-2-3-1): Hart 7, Maffeo 6.5, Stones 7 (Adarabioyo 60, 6)...

  • SALVATORY EDWARD Kiungo wa zamani wa timu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya Kide...

  • Baada ya kikosi cha Mwadui FC kuchapwa kwa bao 1-0 katika mechi yao ya Lig...

  • Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeweka bayana kuwa, lipo kwenye mpango wa ...

SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / TASWIRA MBILI ZA MWISHO ZA MBWANA SAMATTA KABLA YA KUTUA RASMI GENK.

HAPA NI AMSTERDAM


Mbwana Samatta ameondoka jijini Dar es Salaam, jana usiku. Akipitia Amsterdarm nchini Uholanzi akiwa njiani kwenda Ubelgiji ambako rasmi atajiunga na Genk ambayo ataichezea.

Kulikuwa na mvutano kati ya Genk na TP Mazembe, timu aliyopata nafasi ya kuonyesha uwezi wake kimataifa. Lakini sasa mambo yanaonekana, yamekwiva.
HAPA NI DAR ES SALAAM...
Picha hizo, moja alipiga akiwa jijini Dar es Salaam, dakika chache kabla ya kuruka kwenda Amsterdam na pili akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Schiphol akisubiri ndege yake ya mwisho takribani saa moja tu hadi Brussels.

«
Next
TFF Wakiri Kulikoroga Suala la Azam Kupewa Ruhusa Kwenda Zambia..Malinzi Aomba Radhi.
»
Previous
Tazama Picha za Wema Sepetu Akiwa na Baba Kijacho Wake Leo Siku ya Kuzaliwa Kwa Idriss Sultan

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply