SIASA

SIASA

MAONI

MAONI

BURUDANI

MICHEZO

/ / ULAYA: KWA MIAKA 20 ILIYOPITA, KLABU IPI INAONGOZA KWA UBINGWA NA KUBADILI MAMENEJA.


WENGER-MR.BEANWADADISI, ama waite Wachokozi, huko Ulaya huibuka na kila aina ya Takwimu ili kuchokonoa hisia, hasira na furaha kwa Wadau wa kila upande katika kushabikia Soka.

 Zipo takwimu, au data, kwa lugha ya Kizaramo, ambazo wengi huzipuuza lakini kwa wengi wengine huibua furaha na kejeli kwa hao ili kukandya wapinzani wao.

 Mara nyingine, hizi Takwimu, huibua vitu vya mvuto kwa wale Wadau wa Soka makini na mojawapo ni hizi hapa!

UBINGWA KWA MIAKA 20 ILIYOPITA:
-Bayern Munich 12 [Bundesliga]
-Man United 11 [Ligi Kuu England]
-Barcelona 9 [La Liga]
-Real Madrid 6 [La Liga]
-Chelsea 4 [Ligi Kuu England]
-Arsenal 3 [Ligi Kuu England]
-Liverpool 0 [Ligi Kuu England]

 MAMENEJA KWA MIAKA 20 ILIYOPITA:
-Real Madrid 21
-Chelsea 16
Barcelona 13
-Bayern 12
-Liverpool 8
-Man United 3
-Arsenal 1

«
Next

Chapisho Jipya

»
Previous

Taarifa za zamani

About Unknown

Asante kwa kutembelea SELASINI HABARI,NITAKUHABARISHA, KUKUELIMISHA NA KUKUBURUDISHA HIVYO USIKOSE KUTEMBELEA SELASINIHABARI.BLOGSPOT.COM.

Hakuna maoni :

Leave a Reply